Sunday, October 17, 2010

UZINDUZI WA MAPACHA WATATU ULIKUWA MOTO


Show ilikuwa tight..Wapenzi wa mapacha walikuwa wa ukweli..Asanteni sana na Enjoy Picha ntaendelea kupost picha kesho na keshokutwa

Show ya Uzinduzi

Mama Mjamzito Akajifungua Mapacha Watatu Pale

Mgeni Rasmi Mama Asha Baraka Akizindua Rasmi Album ya Jasho La Mtu ya Mapacha Watatu


Twanga Pepeta Walitusindikiza

Haya Sasa Onyesha Ujuzi wako Kalala Junior

,,,Jose Mara

,,Khalid Chokoraa

Na Mzee Mafumu Bilali Tulikuwa nae akitupa Support

Kaka yetu kutoka mama mwingine Mzee Yusuf

MC Ben  kinyaiya akitambulisha wapiga VyomboBaadhi ya waliohudhulia...Kutoka Kamati ya Miss Tanzania

 

Wife ,Mary Kalala na Company5 comments:

Anonymous said...

Ha ha haaaaaa nimefurahi picha ya pili,nimemuona mtu mmoja ngumi jiwe..mkwara wake nomaaaaaaaaa

Anonymous said...

Mdau hapo juu umenichekesha saaana, eti mtu mmoja mkwara wake nomaaaa, umeona eeeheeee!!! mana huyo mtu nahisi si mwingine bali ni huyo mwenye koti jeusi (M), jamaa huyo ukimchokoza ugomvi wake hauishi haraka, but ukimuona utadhani mtu kweli.

Anonymous said...

Jamani uzinduzi ulikuwa bomba mbaya, show ilikuwa nzuri sana na watu tulienjoy vya kutosha. Hongereni vijana kwa kazi nzuri na ambayo imesimama vilivyo. Namuona hapo kijana wako masoud na wenzie nao wakikukampan. ila mwambie aache ukorofi ashakuwa sasa.

Anonymous said...

Ha ha haaaaaaa,mi nilikoma jamani,manake jamaa alitunyima raha siku moja hamu nae sina,mkwara wake alituweka mahali tukany'atwa na mbu ile mbaya mpaka ye alipoamua teh teh sitaki kukumbuka@anonymous wa 2.

Anonymous said...

we anon wa 4 umenichekesha, pole sana. jamani jose inabidi ukae na huyo mshikaji wako umueleze aache ukorofi mana kila mtu anamsema yeye sio fresh kwa maisha ya sasaivi kwani ukorofi hauna maana yoyote inabidi abadilike kwani anajichafulia jina mjini hapa hata wenzie watamuogopa kuwa nae karibu.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA