tag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post4559383921652057108..comments2017-08-02T03:42:05.929+03:00Comments on JOSE MARA: UZINDUZI WA MAPACHA WATATU ULIKUWA MOTOJose Marahttp://www.blogger.com/profile/15819728558154959083noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-47764621464830185422010-10-20T08:51:31.570+03:002010-10-20T08:51:31.570+03:00we anon wa 4 umenichekesha, pole sana. jamani jose...we anon wa 4 umenichekesha, pole sana. jamani jose inabidi ukae na huyo mshikaji wako umueleze aache ukorofi mana kila mtu anamsema yeye sio fresh kwa maisha ya sasaivi kwani ukorofi hauna maana yoyote inabidi abadilike kwani anajichafulia jina mjini hapa hata wenzie watamuogopa kuwa nae karibu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-28070223304845899142010-10-19T13:04:54.354+03:002010-10-19T13:04:54.354+03:00Ha ha haaaaaaa,mi nilikoma jamani,manake jamaa ali...Ha ha haaaaaaa,mi nilikoma jamani,manake jamaa alitunyima raha siku moja hamu nae sina,mkwara wake alituweka mahali tukany'atwa na mbu ile mbaya mpaka ye alipoamua teh teh sitaki kukumbuka@anonymous wa 2.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-9770154749895936742010-10-18T14:45:46.437+03:002010-10-18T14:45:46.437+03:00Jamani uzinduzi ulikuwa bomba mbaya, show ilikuwa ...Jamani uzinduzi ulikuwa bomba mbaya, show ilikuwa nzuri sana na watu tulienjoy vya kutosha. Hongereni vijana kwa kazi nzuri na ambayo imesimama vilivyo. Namuona hapo kijana wako masoud na wenzie nao wakikukampan. ila mwambie aache ukorofi ashakuwa sasa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-33394007656903330252010-10-18T14:35:06.009+03:002010-10-18T14:35:06.009+03:00Mdau hapo juu umenichekesha saaana, eti mtu mmoja ...Mdau hapo juu umenichekesha saaana, eti mtu mmoja mkwara wake nomaaaa, umeona eeeheeee!!! mana huyo mtu nahisi si mwingine bali ni huyo mwenye koti jeusi (M), jamaa huyo ukimchokoza ugomvi wake hauishi haraka, but ukimuona utadhani mtu kweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-68589902829803225982010-10-18T11:29:53.766+03:002010-10-18T11:29:53.766+03:00Ha ha haaaaaa nimefurahi picha ya pili,nimemuona m...Ha ha haaaaaa nimefurahi picha ya pili,nimemuona mtu mmoja ngumi jiwe..mkwara wake nomaaaaaaaaaAnonymousnoreply@blogger.com