Monday, February 27, 2012

BLOG HII ITAENDELEA KWA KIMYA KWA MUDA...SAMAHANI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA

0 comments
Bado Najipanga. Kwa kweli \nimeshindwa kuimanage hii blog . Natafuta Msaidizi.

Tuwiane radhi.

Jose Mara.

Thursday, November 3, 2011

BIRTHDAY NA FAMILIA NA MARAFIKI

3 comments
Jana Nilishinda Nyumbani siku Nzima na jioni Wife Kaniandalia Chakula Cha jioni na Marafiki. Asanteni sana Mapacha kwa Kujumuika nami.
Nilipenda sana Cake Yangu..Thanks wife.
Baadhi ya Marafiki Niliojumuika Nao.

Familia

Moja ya Chakula Kilichonivutia jana 


Wednesday, November 2, 2011

LEO NASHEREHEKEA SIKU YANGU YA KUZALIWA

0 comments
Leo ninapotimiza Miaka Kadhaa toka niingie hapa duniani, namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipatia pumzi na kunifikisha mwaka huu mwingine.

Shukrani Kwenu wote mlionitumia salamu za heri ya siku yangu hii ya kuzaliwa

Nimshukuru pia kwa Familia yangu, Mke na watoto Wangu, Nawapenda sana na shukrani kwa kuwa na mimi kwa mwaka huu uliopita na siku zote katika raha,karaha,furaha na shida.

Niwashukuru wenzangu wa Mapacha watatu..Pamoja sana vijana wenzangu katika Kazi. Fans wangu pia mmechangia sana katika mafanikio yangu ya mwaka huu.


Sababu Leo Mapacha Hatuna Kazi, Nitatumia Muda huu Kusherehekea Birthday Yangu nyumbani, Kifamilia Zaidi.
Thanks

Tuesday, November 1, 2011

Hongera kutimiza Miaka Mitano 8020fashion Blog

0 comments
Mmiliki wa 8020 blog Shamim...Hongera sana Mama


Steve.Mtendaji Mkuu wa FM Events.


Big Up kwa Sponsor Wangu FM Express events kwa kazi nzuri kupendezesha Ukumbi.

BIRTHDAY YA MICHAEL NA 2. SHULENI

1 comments

Alipata cake yake ya Racing Mcqueen..mi hata nilikuwa sielewi,big up kwa mama yake.

na wenzake wamepozi na Cake..JJ hajakosa akazamia

Akala Cake na wenzake


Na Walimu pia wakapata Cake

Happy Birthday Again son.

Monday, October 24, 2011

HAPPY BIRTHDAY TO MY SON MICHAEL

3 comments
Jumamosi ya tarehe 22 October kijana wangu wa kwanza Michael Alitimiza Miaka 6. Tulimpeleka Lunch Kifamilia zaidi Pale Spur kukata cake yake. Na Alipendelea zaidi Birhday Cake ya pili akakate na wenzake Shuleni. Ambako itafanyika leo pale badae.

Michael - 6Years - HAPPY Birthday Kaka Maiko


Mdogo wake JJ Akimlisha CakeNa yeye Akalishwa CakeShangazi - huyu dogo naye JJ aling"ang"ania birthday ya kakake naye inamuhusu akalisha watu kekiBabaMama akapata kwa JJMama Akalishwa na MichaelZawadi From Friend Ashraf.

Sunday, October 23, 2011

MAPACHA QUEENS

1 comments
Kila jumapili Mapacha Tuko Mzalendo pub na kila jumanne coco star club beach na Alhamis ni Pale Club Sunciro Sinza.  Hawa Wakinadada Ni CREAM ya Dancers Tanzania. Niamini mimi. Njoo uone wakichakachua Halafu Utaniambia..
 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA