Friday, October 15, 2010

UZINDUZI WA MAPACHA WA3 NDIO LEO


Tumekuwa na pilika za Interview na mazoezi kwa wiki mbili mfululizo sijapata wasaa wa kukaa na kuwarushia habari wadau. halafu mbaya zaidi kamera yangu ikavunjika screen..sasa basi kabla hatujaingia kazini leo usiku pale travertine napenda kuwashukuru sana kwa support: Vyombo vya habari vyote tunashukuru sana kwa support yenu kweli tumefarijika mnavyotujali.
Fans wa mapacha watatu na wa Jose Mara kwenye blog,facebook na Twitter nawashukuru sana kwa mawazo yenu,comments na kututakia heri.

Sasa basi tukamilishe tulilolianzisha leo palee Travertine kwa Elfu kumi tu na uje na dancing shoes mwanzo mwisho nikudance na Mapacha..Njoo Uringe na Mapacha watatu.
                                             

2 comments:

Anonymous said...

Jamani inaelekea ilikuwa balaaa hiyo kitu duhhh!!

mimi sikuwepo but i guess i miss a lot from u guys big up saaana

shose kombe

Anonymous said...

daaah!!!!mmenoga mbaya but mimi cjapata tshert langu jose inakuaje!!!!rose mnzava...0715 150153

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA