Monday, October 18, 2010

Picha zaidi za show ya uzinduzi wa Mapacha Wa3


Meneja Wa Mapacha Wa3 Hamis Dakota Akisoma hotuba fupi mbele ya Mgeni Rasmi
Album ya Mapacha Watatu "Jasho La Mtu" Ilizinduliwa rasmi tarehe 15 October pale travertine 


Mapacha Wa3 Kama Magwiji wa3 wa Soccer Duniani








Nyomi

Wife akiwa na Mary Kalala na Company



 Mduara Shika Ushikapo..Unaenda hivi



Vijana Kazini..Picha hii kwa hisani ya Global Publishers

MMoja wa Wadhamini wa show hiyo Lulu wa Lulu Quality Fashions ndie aliefanikisha Urembo na Mavazi ya Wanenguaji.







Sophia Kessy wa Pili Kulia aliwakilisha Bambataa

7 comments:

Anonymous said...

Jose Kwa nini hukuwashauri FM Wakafanya vizuri vile wakatupigia madebe? kiufupi mmewapiga bao FM na Mashujaa na launch yenu. Big Up bros

Anonymous said...

Sipati picha Mabendi makubwa walivyonuna ile ilikuwa show balaa. Utadhani Wazekwa kaungana na Fally na Ferre kwa pamoja. Hongereni Album Tutanunua wapi?

Anonymous said...

Wacheza show na nyie wenyewe mlipendeza sana. Vijana Mahandsome balaa. Kazi kwenu wake zao..ha haaaa

Anonymous said...

Mama Monicaa Mwenyewe kwa pozi hatukuwezi. Nilipenda sana Viatu vyake.

Anonymous said...

Kazi nzuri wa Kimara. Tunasubiri Chozi la Yatima sasa

Anonymous said...

Aaaa Vero Salon weee Mwanamke Jichoooo...

Anonymous said...

daaah ilinoga mbaya...hongereni....r.mnzava.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA