Monday, September 13, 2010

PICHA ZA UZINDUZI WA ALBUM YA VUTA NIKUVUTE YA FM ACADEMIA


Uzinduzi
Meza Kuu.Mkurugenzi Martin Kasianju,Mzee Muta, na wa mwisho Kushoto Mama Rugemalila Mkurugenzi wa mabibo Wines
MC Alikuwa Ben Kinyaiya
Opening Show ya Prezidaa
Vijana Kazini

Dancers wakifanya mambo
Nikifanya makamuzi
Nikiwa na Wife Full sapoti

Nameless Akiwajibika

MAmaa wa Bambataa Sophia Kessy Alikuwepo na Shemeji Regina wa Habari Leo
Hafsa Kazinja..Amejiunga Rasmi na FM Academia siku hiyo
Nyomi

Dada Yangu Pekee Maria akiwa na wifi yake


Nikiwa na Farida kushoto na Betty Kulia MwishoITAENDELEA....

8 comments:

Anonymous said...

Ilikuwa Bomba sana usihadithiwe

Anonymous said...

kama hukuwepo poleee,ilikuwa bomba.nguo ya bibie monica lol..ulipendezaaa

Anonymous said...

Napenda unavyocheza,mlitoka poa sanaa

Anonymous said...

mmependeza. wake za kina pablo mbona hatuwaonagi aluuuuu

Anonymous said...

Wapo ila si lazima kujionyesha sana,ukisikia shumii b my lov mtu anapaishwa,nilimuona dem wake kwenye uzinduzi...

Anonymous said...

Nilimaanisha MKE sio MADEMU wa kujipendekeza kama ni mademu inawezekana hata Jose mara anao lakini asionekane mbele ya mke. na kama ni kweli huyo Shumii B ni demu wa Pablo hawezi kujionyesha sio sifa kutembea na waume za watu.muelewe hivo na hii ni kutoka mdomoni kwangu mimi mwanaume lijali from mbezii samaki.

Anonymous said...

Kwa nini asijionyeshe kama ni mke wake wa halali na anampenda?Endelea hivohivo Jose na mungu atakujaalia usisikilize ya watu. Baada ya Mama yako mzazi mkeo ni kama mama yako wa ukubwani na wewe pia uwe baba yake. mpendane hivo hivo. roho zituume lakini iko wazi katika wanamziki wa dansi nchini sijaona mtu yuko proud na mkewe kama huyu kijana..mama wa BOT

Anonymous said...

jamani anaweza kuwa mchumba wake,mi sijawahi kusikia kama huyo bablo ameoa nachosikiaga ni huyu shumy b.sio sifa lkn wanaume wachache fikiria mwanaume mmoja anasimama na wanawake 9 si balaa hilo..mi pia sipendi hiyo tabia,kama umeoa au kuolewa tulia,sio vzr kupiga kazi za nje.hongera jose wanatakiwa kuiga mfano wako.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA