Tuesday, September 14, 2010

PICHA ZAIDI ZA UZINDUZI WA ALBAM YA FM ACADEMIA


 

Nameless

Roger Muzungu

Watunda
Pablo Masai Baba Emee Roho ya Mama Rose..

Papaa Love
Malkia Mpya Wa Ngwasuma Hafsa
Patchou Mwamba Tajiri

Uncle P na suit balaa..

King Blaize

Thelathini na Tatu=337 comments:

Anonymous said...

Mlipendeza,hafsa punguza shavu mamaaa...jose eti pablo ameoa!

Anonymous said...

jose punguza kimzuzu.

Anonymous said...

Kazi nzuri Jose.ongeza bidii. nasubiria album yako. haya yote ya watu wacha yapite

Anonymous said...

Mbona siku hizi hukati kiuno sana kama zamani? Mama monica amekukataza wera weeeraaaa. Big up Pablo na Patcho hayo ndo mambo huyo jose anatudengulia tu pale mapozi meengi kama nini.

Anonymous said...

Hahaaaaaa..mwanaume pozi kidogo jamani,mi napenda anavyocheza taratibu,kucheza sio mpaka ukate kiuno sanaaaa.

Jose Mara on September 16, 2010 at 4:19 PM said...

Majibu na maoni:
1. Kwa Alieuliza swali juu pale kuhusu pablo. Ndio Pablo Ameoa.
2. Kamzuzu hako ni signature yangu dada/kaka
3. Jamani mbona najitahidi sana tu kucheza? Labda sijui tu sasa. Mmenichekesha.

Asanteni kwa Comments na support

Anonymous said...

Ndio lakini kapunguze umekuwa kama ustadhi hahaaaaaa..mwishowe utaitwa ustadhi mara..

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA