Jana uzinduzi wa Vuta nikuvute Diamond Jubilee ulikuwa bomba sana. Tunaelekea Morogoro kwa shoo leo jioni na kesho tutakuwa Morogoro kwa show ya leo halafu kesho tutakuwa Zanzibar.
Nikipata muda wa kupumzika ntawarushia picha za Diamond,backstage mpk Jukwaani.
Kwa niaba ya wana Ngwasuma tunawashukuru wapenzi wote wa FM kwa support kubwa jana.
Jose Mara Wa Kimara.
SHISAMA YATEMBELEA KAMBI YA MAZOEZI YA MAANDALIZI YA ONESHO LA MUSEUM ARTS
EXPLOSION
-
*Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Tanzania (SHISAMA) Dkt. Cynthia
Henjewele akiambatana na Naibu Katibu Mkuu, Aloyce Makonde, leo Oktoba
15.2026 ...


3 comments:
Jose umependeza sana. Tunasubiri picha zaidi
Show ilikuwa nzuri ingawa hatukupewa cd kama tulivyoahidiwa. Kwa upande wa mavazi sio sIri wakongo unawakimbiza.wanakushinda mikorogo tu
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji!
Basi na wewe usione umesifiwa ila wao wamekushinda mkorogo basi na wewe ukataka ujikoroge, UTAJIHARIBU! waachie wenyewe waendelee kutisha watoto, rangi yako nzuri tu na wife mashaallah umepata basi tulia maana nyie masupa nyota huko kazini mnakua na kazi 2 wengine, ni ushauri tu ndugu yangu mimi si mtu wa majumba ya starehe ila nakuonaga na nakusikiaga nimepita kutia macho nuru.
Kazi njema salamu wifiiiiii nimempendaa analipa.
Post a Comment