tag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post4152473862842708203..comments2017-08-02T03:42:05.929+03:00Comments on JOSE MARA: PICHA ZA UZINDUZI WA ALBUM YA VUTA NIKUVUTE YA FM ACADEMIAJose Marahttp://www.blogger.com/profile/15819728558154959083noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-26344023011025628862010-09-13T15:37:25.246+03:002010-09-13T15:37:25.246+03:00jamani anaweza kuwa mchumba wake,mi sijawahi kusik...jamani anaweza kuwa mchumba wake,mi sijawahi kusikia kama huyo bablo ameoa nachosikiaga ni huyu shumy b.sio sifa lkn wanaume wachache fikiria mwanaume mmoja anasimama na wanawake 9 si balaa hilo..mi pia sipendi hiyo tabia,kama umeoa au kuolewa tulia,sio vzr kupiga kazi za nje.hongera jose wanatakiwa kuiga mfano wako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-5200395992508244842010-09-13T10:54:53.753+03:002010-09-13T10:54:53.753+03:00Kwa nini asijionyeshe kama ni mke wake wa halali n...Kwa nini asijionyeshe kama ni mke wake wa halali na anampenda?Endelea hivohivo Jose na mungu atakujaalia usisikilize ya watu. Baada ya Mama yako mzazi mkeo ni kama mama yako wa ukubwani na wewe pia uwe baba yake. mpendane hivo hivo. roho zituume lakini iko wazi katika wanamziki wa dansi nchini sijaona mtu yuko proud na mkewe kama huyu kijana..mama wa BOTAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-14987120806674053342010-09-13T10:44:56.744+03:002010-09-13T10:44:56.744+03:00Nilimaanisha MKE sio MADEMU wa kujipendekeza kama ...Nilimaanisha MKE sio MADEMU wa kujipendekeza kama ni mademu inawezekana hata Jose mara anao lakini asionekane mbele ya mke. na kama ni kweli huyo Shumii B ni demu wa Pablo hawezi kujionyesha sio sifa kutembea na waume za watu.muelewe hivo na hii ni kutoka mdomoni kwangu mimi mwanaume lijali from mbezii samaki.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-3200041889887867402010-09-13T10:28:46.570+03:002010-09-13T10:28:46.570+03:00Wapo ila si lazima kujionyesha sana,ukisikia shumi...Wapo ila si lazima kujionyesha sana,ukisikia shumii b my lov mtu anapaishwa,nilimuona dem wake kwenye uzinduzi...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-8881527426896601452010-09-13T10:20:25.428+03:002010-09-13T10:20:25.428+03:00mmependeza. wake za kina pablo mbona hatuwaonagi a...mmependeza. wake za kina pablo mbona hatuwaonagi aluuuuuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-65552959699776195402010-09-13T10:15:47.428+03:002010-09-13T10:15:47.428+03:00Napenda unavyocheza,mlitoka poa sanaaNapenda unavyocheza,mlitoka poa sanaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-38002079020067436542010-09-13T10:13:11.397+03:002010-09-13T10:13:11.397+03:00kama hukuwepo poleee,ilikuwa bomba.nguo ya bibie m...kama hukuwepo poleee,ilikuwa bomba.nguo ya bibie monica lol..ulipendezaaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7558140117873709584.post-20810547485039334622010-09-13T09:14:33.062+03:002010-09-13T09:14:33.062+03:00Ilikuwa Bomba sana usihadithiweIlikuwa Bomba sana usihadithiweAnonymousnoreply@blogger.com