Friday, July 15, 2011

NYUMA YA PAZIA VIDEO YA JANGWANI NDANI YA ALBUM YA CHOZI LA YATIMA


Ninaendelea na Matayarisho ya Video za Nyimbo katika Album Yangu. hii nyimbo bado haijatoka hewani.

Nimeona Niwaonyeshe kidogo katika picha yaliyotokea wakati wa Kushoot Nyimbo hiyo.





Nikiwa Kazini...

Model katika video ya Jangwani

Na Mtayarishaji wa Video hii na Nyinginezo Zangu ni Bwana Kalaghe... ITAKUJA SOON KWENYE RUNINGA ZENU

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA