Thursday, September 22, 2011

Samahani sana wadau kwa kupotea


Imekuwa Muda mrefu sasa sija update blog. Nilikuwa mgonjwa na bado sijawa fit. Muda si mrefu nitarudi ulingoni. Mniwie radhi. Jose Mara

4 comments:

Anonymous said...

pole sana kaka, mungu akupe nafuu urudi katika hali yako.. we mic you

Anonymous said...

pole sana kaka, mungu akupe nafuu urudi katika hali yako.. we mic you

Anonymous said...

Uwe umzima kwa jina la yesu.ili uendelee na kazi za kujenga taifa.

Anonymous said...

Jinsi hii blog ilivyokaa kimya siku nyingi inaelekea huo ugonjwa sio mcezo, pole sana

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA