Thursday, July 14, 2011

LEO NINA FURAHA KUTIMIZA MIAKA MINNE YA NDOA


Wazungu ndio wanaita Anniversary..Yes Leo Mimi na Mke wangu Tumegonga Mwaka wa nne Toka Tulipofunga Ndoa.

Ni safari Ndefu isiyokuwa na kikomo, na leo ni kumbukumbu ya ndoa yetu Mke wangu upendo na uvumilivu ulionionyesha kwa kipindi hiki chote sina cha kusema zaidi ya shukrani, Mungu Atubariki sisi na Familia yetu. Nakupenda Zaidi na Nitaendelea kukupenda na kukujali Hadi Mwisho wa Maisha yangu duniani.

Nakumbukia kwa picha...
Huyu hapa ndio Wa Kwangu.

Siku Ile Ya Tarehe 14 July 2007.Tukiwa na Mashahidi Collins na Beatrice.

5 comments:

Anonymous said...

Kaka yangu nakutakia siku njema na yenye furaha tele ,wewe pamoja na wifi yetu,mwenyezi mungu na awape maisha marefu yenye furaha na mkapate baraka siku zote za maisha yenu,hata tuje kuikumbuka siku kama ya leo ,miaka zaidi ya 50 ijayo .Mbarikiwe nyote katika familia yenu Amen.

Anonymous said...

kaka yangu nakutakia miaka mingine 100 wenye wiv wajinyonge na watajiuju

Anonymous said...

hongera sana mungu azidi kuwapa afya njema nakuadmire sana jose uko tofauti sana na tabia za wanamuziki wengine upo juu nakupendaga sana

Anonymous said...

Hongereni na Mungu awabariki ktk Maisha yenu ya ndoa.

Anonymous said...

hongereni sana, ndoa ni safari inamilima na mabonde lakini chini ya Mungu hakuna linaloshindikana!!!

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA