Tuesday, July 12, 2011

MSIBA MKUBWA KWA WANA FM ACADEMIA NA WADAU WA MUZIKI WA DANSI


Usiku wa Kuamkia Jana Tumempoteza Ndugu yetu Boniface Kasyanju aliekuwa akijulikana kwa wengi kwa jina la Uncle Bonny. Uncle Bonny Ni Mdogo wa Mzee Martin Kasyanju ambae ni mmiliki wa Bendi ya FM Academia. Kwa Wapenzi wote wa FM Mtamkubuka Uncle Bonny alikuwa hakosi Getini kwenye show zote za FM. Alikuwa ni mmoja wa Viongozi na Msimamizi wa Shughuli zote za Bendi.
Uncle bonny wa Kwanza Kushoto( Mwenye kofia nyekundu) Enzi za Uhai wake. Hapa Tulikuwa na bendi ya FM Mjini Arusha.

MAZISHI YAKE YATAKUWA LEO SAA 10 JIONI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

Binafsi Alikuwa Mtu wangu wa Karibu sana, Mcheshi na Mshauri Mzuri.
Tulimpenda lakini Mungu Kampenda Zaidi. RIP Boniface.


0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA