Saturday, March 26, 2011

SALAAMS WADAU NIMERUDI



Nimekuwa kimya Kitambo kidogo. Mambo mengi watu wangu. sasa Natafuta Mtu wa kumlipa awe ananisaidia ku update blog.

Niko pamoja na Nyinyi lakini.

Leo naendelea na Maandalizi ya Mapacha pale Kilimanjaro Music Awards tukaonyeshe mambo yetu.

Baada ya Awards Nitakuwa Makumbusho na Wazee Wa Ngwasumu.

Asanteni sana kwa Mliopiga Kura kuipa support Mapacha. Natumaini kura zenu zimehesabiwa na ZIMETIMIA.

Baadae basi tuonane huko Diamond kwa Kili Awards na Makumbusho pia

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA