Saturday, March 5, 2011

MAPACHA WATATU TUNAOMBA KURA ZENU KILI MUSIC AWARDS 2011


Katika Kilimanjaro Music Awards 2011 Mapacha Watatu Tumefanikiwa Kuingiza Wimbo Mmoja  pia Pacha Mmoja Khalid Chokoraa nae Kaingia katika kinyang'anyiro cha Rapa bora wa bendi.

Tunaomba Kura Zenu Tafadhali.
Kupigia Kura Wimbo Wa Shika Ushikapo wa Mapacha Tuma sms yenye maneno G173 kwenda Namba 15747 . Na Kumpigia Kura Chokoraa Andika M110 kwenda 15747

Moja ya Scene katika video ya wimbo wa Shika Ushikapo inayoshindanishwa katika Wimbo bora wa Kiswahili (Bendi)

Khalid Chokoraa Akiwa Kazini katika Moja ya show za Mapacha Watatu

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA