There was an error in this gadget

Wednesday, February 23, 2011

SHIKA USHIKAPO YA MAPACHA WATATU NDANI YA KILI MUSIC AWARD


Ni furaha kwetu Mapacha Watatu kwa kuwa mwaka wa kwanza katika game wimbo wetu wa Shika nikushike umeingia katika kinyang'anyiro cha Kili Music awards.

Shukrani kwa wapenzi wetu wote na wote waliofanikisha kufikia hapo. Tuna imani Tuna mengi tu mazuri zaidi ya hayo, Endelea Kuifatilia bendi yako ya Mapacha Watatu kwa ukaribu.

Wimbo huo umeingia katika kundi la Wimbo Bora wa Kiswahili Bendi; Tukishindana na wengineo kama ifuatavyo
Best Swahili Song of the Year: Shika Ushikapo- Mapacha Watatu ft Mzee Yusuph, Laptop- Extra Bongo, Kauli- Twanga Pepeta, Pongezi kwa Wanandoa- Akudo.
Nitawafahamisha zaidi jinsi ya Kupiga Kura baadae kidogo


Mapacha Watatu Kazini

Best Swahili Song of the Year: Shika Ushikapo- Mapacha Watatu ft Mzee Yusuph, Laptop- Extra Bongo, Kauli- Twanga Pepeta, Pongezi kwa Wanandoa- Akudo.Picha ya Pamoja Mapacha Watatu Tukiwa na Mzee Yusuf katika Video ya Wimbo wa Shika Ushikapo.

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA