Wednesday, March 30, 2011

MAPACHA WATATU NDANI YA KTMA 2011 MATUKIO KATIKA PICHA


Kwa Mara Nyingine Nawashukuru sana Wapenzi wa Mapacha kwa kutuwezesha.
Mambo Yalikuwa Hivi

Tukiingia Diamond Red Carpet Interview na Clouds Tv

Jose Mara

Toka Kushoto Kalala Junior, Meneja Dakota na Khalid Chokoraa

Tukiwa na Mpoki

Bendi Nzima ya Mapacha Tayari kupanda Stage

Nikiwa na mmoja wa washindi wa Tuzo usiku huo Cpwaa.

Jukwaani Tukipokea Tuzo

Mapacha Stejini Kuburudisha

Kalala Jr. na Ali Kiba

Meza ya Mapacha Mama Watoto kwa pembeni

Hawa Pia walikuwa Meza ya Mapacha

Meneja Dakota na Khalid Chokoraa Rapa Bora wa Bendi KTMA

7 comments:

Anonymous said...

Jose Kwa Mavazi Unawakimbiza. Hongera sana. Hongereni na Mapacha kwa Kazi nzuri.

Anonymous said...

Bravo Vijana. Mi nawakubali sana tu

Saadat said...

Hakuna zawadi ya wapiga kura bora? maana mimi nilimaliza kama vocha za laki hivi. nashukuru pesa zangu hazijaenda bure.

Anonymous said...

Jose hongera sana. Pole sana na Maswaiba ya Pablo Masai. Roho mbaya sana wakongo wale. nilishuhudia na kusikia madongo yake pale Makumbusho. Achana nao wale maneno ya wivu

Dogo Mtambo said...

Brothers , Hiyo ndio speed inayotakiwa katika karne hi, Keep it up brothers,We are proud of you INTERPRENOURS.

"Dogo Mtambo"

Anonymous said...

Jose Mara mimi n fan wako namba moja ila mbona hauweki wimbo hata mmoja wa mapacha tukausikia au kuona??/

PILI na kubwa kuliko mpende sana huyo mkeo Monica na muheshimu sana simjui hanijui ila umepata mwanamke anayejua na kukupenda ulivyo n she is pretty mpende sana,wadada na majimama wengi watakufuata sasa sababu ni maarufu ila wana mwisho wayeyushe na utakuwa juu always..mdau Canada

Anonymous said...

Hongera sana Mapacha watatu. Mamaa Monica ulipendeza sanaaaa, huwa hufanyi kosa katika mavazi

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA