Thursday, March 31, 2011

MAPACHA WATATU MZALENDO PUB SIKU YA JUMAPILI -Kili Awards Tuzo Party 1


Jumapili iliyopita na kila jumapili Mapacha Tunapiga Pale Mzalendo Pub. Jumapili hii iliyopita tuliendelea kusherehekea Ushindi wa Tuzo 2
Fans Wakiwa na Tuzo Zao

Hizo

Baba Mzee Hamza Kalala Akitupa mawili matatu


Mzee Mafumu Nae Akatupa yake pia akachukua Jukwaa na kuimba Maya

Mapacha Family..

Yes

Mama Yetu nae Alikuja Kutupa Mkono..Mama Kalala Junior

Mimi na Wangu..Shika Ushikwapo..

Rehema Kiluvia wa Ukweli
 
Mzee Mafumu Kazini0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA