Tunawashukuru sana Wapenzi wa Mapacha kwa kutuwezesha kupata Tuzo Mbili tulizokuwa tukigombea.
tuzo tulizoshinda ni ya Wimbo bora wa Kiswahili Bendi ambapo wimbo wetu wa mduara tulioimba na Mzee Yusuf umechukua tuzo hiyo. pamoja na Rapa Bora wa Bendi ambapo Pacha Khalid Chokoraa Ameichukua.
JUBILEE INSURANCE WAZINDUA OFİSİ YAO MPYA FAYKAT TOWER
-
Na Mwandishi Wetu
JUBILEE Insurance (Jubilee Life na Jubilee Health) leo Novemba 17,2025
wamezindua rasmi ofisi yao mpya iliyopo ghorofa ya tatu jengo l...


0 comments:
Post a Comment