Friday, November 26, 2010

JOSE MARA BLOG IMERUDI




Wapenzi wa Muziki wangu pamoja na wasomaji wote wa blog yangu kwanza niwaombe radhi kwa kupotea ghafla mtandaoni kwa muda unaokaribia mwezi mmoja, Bila Kuwaaga. Ilikuwa ni kwa sababu za kiufundi zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Natumaini mtanielewa.

Naomba sasa Tuendelee kama kawaida na msichoke kuendelea kunisupport

Nawapenda sana.

Jose Mara Wa Kimara

3 comments:

Anonymous said...

Pamoja Mwana. Binafsi nilikumiss sana halafu nikawa siwezi hata ku comment sijui kama hii utaipata.

Ellly

Anonymous said...

Poa Jose. Mapacha watatu pale Coco beach jumanne safi sana. kitu kizuri sana. natamani mngefanya week end. kama vipi zipotezeeni hizo bendi za fm na twanga.

Anonymous said...

Nimefurahi kuona umerudi Jose. napenda sana kazi zako na jinsi unavyojituma. Hongera na kaza buti

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA