Leo nasherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa.
Nashukuru kwa familia yangu kwa kuianzisha siku yangu vizuri. Nilifurahi sana Mike na JJ walivonisurprise na cake Happy Bday Baba. Kweli nazeeka kwa furaha.
Nawashukuru pia Ndugu,Jamaa,marafiki na fans kwa message zenu na simu za wishes. Kupitia sms,Twitter, FB ni nyingi siwezi kujibu moja moja. Asanteni kwa kunikumbuka na kunijali
JUBILEE INSURANCE WAZINDUA OFİSİ YAO MPYA FAYKAT TOWER
-
Na Mwandishi Wetu
JUBILEE Insurance (Jubilee Life na Jubilee Health) leo Novemba 17,2025
wamezindua rasmi ofisi yao mpya iliyopo ghorofa ya tatu jengo l...


0 comments:
Post a Comment