Monday, November 29, 2010

Nimetembelewa na kipindi cha NDOTO PEVU cha Chanel Ten


Leo Mtangazaji wa Kipindi cha Ndoto Pevu na crew yake walinitembelea nyumbani Kimara Temboni kwa interview fupi. Kipindi hicho kinaruka hewani kila Jumamosi saa 2 usiku.

Ni Mtangazaji Wako Abdul wa kipindi cha Ndoto Pevu kinachorushwa na Channel Ten kila jumamosi saa 2 mpaka saa 2 na nusu usiku 

Camera man kazini

Nikiwa na Abdul

Pata Habari zangu zote za Kimuziki nikizichambua kiundani katika kipindi hiki siku ya Jumamosi ijayo saa 2 usiku.

2 comments:

Anonymous said...

Safi tutacheki lakini huo mzuzu vipi Bro. kama vipi utoe hauko fresh au ndio Wazekwa style?

Anonymous said...

kaka punguza kutoa macho mno kwny cmr ila bg up kipindi safi

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA