Monday, October 11, 2010

MAPACHA WATATU NDIO HAO


Wapenzi na washabiki wote wa muziki wa Dansi Jose mara kwa niaba ya Mapacha Watatu nawaombe chondechonde njooni Travertine mtussuport Vijana wenu na Tunawaahidi burudani ambayo haijawi tokea. Kiu mtakata.

2 comments:

Anonymous said...

Hongereni Vijana speed nimeikubali na mimi na jopo langu tutakuwepo hapo. Papaa

Anonymous said...

Tutakuja jose, wala msihofu. mbona mnakubalika sana tu. Pole yake pacha wa nne leo amekuwa msindikizaji looh

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA