Friday, October 22, 2010

HAPPY BIRTHDAY MICHAEL KABUYA JOSEPH


Mtoto wangu wa Kwanza Michael Leo Ametimiza miaka Mitano ya kuzaliwa. Tulienda Shuleni kwake kumfanyia sherehe mida ya mchana

Nakutakia maisha marefu mwanangu na Tunakupenda sana. Happy Birthday my son.


Mdogo wake JJ kampa kampani high table



Watoto wangu wanampenda sana BEN10 na Cake alitaka hiyo


Akisaidiwa kukata cake na Teacher Rose


JJ alianza kumlisha kaka yake




Na yeye Akalishwa

Lisha Baba

Lisha Mama

Lisha Aunt Maria



Group picture na darasa

Familia Imekamilika hapa

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA