Wapenzi na washabiki wote wa muziki wa Dansi Jose mara kwa niaba ya Mapacha Watatu nawaombe chondechonde njooni Travertine mtussuport Vijana wenu na Tunawaahidi burudani ambayo haijawi tokea. Kiu mtakata.
ATCL YAINGIA MAKUBALIANO KUPELEKA MARUBANI KUFUNDISHA NA KUSIMAMIA NDEGE
MPYA NCHINI NIGERIA
-
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), imeingia makubaliano ya kupeleka marubani
wake kufundisha na kusimamia ndege mpya za Airbus A220 za Kampuni ya Ndege
ya I...
2 comments:
Hongereni Vijana speed nimeikubali na mimi na jopo langu tutakuwepo hapo. Papaa
Tutakuja jose, wala msihofu. mbona mnakubalika sana tu. Pole yake pacha wa nne leo amekuwa msindikizaji looh
Post a Comment