Friday, October 8, 2010

MAPACHA WATATU TUNAENDELEA NA MAANDALIZI


Samahanini wadau kwa kukaa kimya. Tuko pamoja kiutendaji. Nikiwa na Mapacha watatu tunajiandaa kuwaletea show ya kikubwa na ya maana natumaini na nyie mnajipanga tukutane pale Travertine tarehe 15oct.

Siku tuliyotambulisha kundi la Mapacha Wa3


Tulipotembelea Ofisi za Global Publishers tukakutana na Swahiba wetu Nguza Mbangu (Picha kwa hisani ya Global Publishers)
Pata habari mbalimbali za mapacha watatu kutoka kwa wadau mbalimbali kwenye links hapo chini:
 1. SPOTI STAREHE

2. GlobalPublishers

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA