Wapenzi na washabiki wote wa muziki wa Dansi Jose mara kwa niaba ya Mapacha Watatu nawaombe chondechonde njooni Travertine mtussuport Vijana wenu na Tunawaahidi burudani ambayo haijawi tokea. Kiu mtakata.
BASHUNGWA AWASILI KILWA KIVINJE SAA 5 USIKU NA BOTI KUPITIA BAHARINI
KUWAFIKIA WANANCHI
-
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa,
Mohamed Nyundo pamoja na Wataalam wengine wamesili katika Mji mdogo wa
kilwa ki...
2 comments:
Hongereni Vijana speed nimeikubali na mimi na jopo langu tutakuwepo hapo. Papaa
Tutakuja jose, wala msihofu. mbona mnakubalika sana tu. Pole yake pacha wa nne leo amekuwa msindikizaji looh
Post a Comment