Saturday, October 30, 2010

SALAMU KUTOKA SAFARINI TUNDUMA,MBEYA NA MVUMELO


Habari wadau. Msinione kimya niko safari na FM Academia Band toka siku ya Jumatano. Siku ya Alhamis Tulikuwa Tunduma tukawarusha pale. Jana Ijumaa ilikuwa zamu ya Mbeya watu walifurahia Ngwasuma.Nimefurahi sana kukutana na wadau na fans wa Mbeya.


Leo tutakuwa Morogoro-Mvumelo mchana tunafunga Campaign na Rais wa Mvumelo Amos Makalla

Chaguo la Wana Mvumelo Amos Makala.

Kesho kama kawaida Asubuhi Tunawahi DSM kupiga Kura. Jioni Tukutane MBALAMWEZII..

1 comments:

Anonymous said...

Jose, hakuna kitu kibaya kama kukosea jina la Mahali ambalo ni rasmi. Siyo Mvumelo ni Mvomero! Sawa. Mpe Hi my sister Mony Jo

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA