Monday, September 20, 2010

MAPACHA WATATU WAMESAINI MKATABA NA MRATIBU WA UZINDUZI WA ALBUM YAO YA KWANZA




Siku Ya Jumamosi katika hoteli ya Lamada Mapacha Watatu (Jose Mara,Khalid Chokoraa na Kalala Junior) Tulisaini Mkataba na kampuni ya Abama Inc. ambao tumewapatia kazi ya Kuratibu Uzinduzi wa Album Yetu.


Pata Picha zaidi za tukio hilo hapo chini..

Mimi, Hamis Dakota(Meneja wa Mapacha watatu)
 na Chokoraa


Chokoraa Akaridhia na kusaini

Mimi nikisaini mkataba

Uzinduzi Utafanyika MWEZI WA KUMI..Tarehe na ni WAPI..STAY TUNED

4 comments:

Anonymous said...

Mambo jose. napenda kazi zako. ntakuja uzinduzi wa mapacha. Fan

Anonymous said...

Hako kastaili kakuziunganisha picha nakapenda. naona unakatumia sana.kanaitwaje? natamani nifanye kwenye picha zangu facebook. na huu ushamba wangu wa computer sijui ntafanyaje.nifundishe tafadhali.

Anonymous said...

At last Ustaadh Mara wa mzuzu. Nilikuwa napita kila siku mara 3 picha zilezile nikataka kukata tamaa. uwe una update usitukimbize tunakupenda mweee.
Ila huyo mratibu nae ana kasura kazuri mh. msinimeze macho yameona

Anonymous said...

Mungu awasaidie mfanikiwe katika kila mtakalofanya,mafans tupo kwaajili ya kuwasupport,najua mambo ni mengi lkn uwe unajaribu ku up-date blog yako,angalau kila siku unajua tunapopita na kuona kitu kile kile kila siku inakuwa sio poa.mambo ni mengi sanaaaa chochote weka tutaridhika.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA