Tuesday, September 28, 2010

PATA TSHIRT YA MAPACHA WATATU HAPA


Nina piece kama 5 hivi za Hizi T-shirt. Nimeshindwa kuchagua wa kumpa katika fans wangu weengi nilionao.
Ntawauliza maswali mawili. watu watano wa kwanza watakaojibu sahihi nitawapatia hizo t-shirt.
Weka namba yako ya simu ili nikutafute baada ya kujibu
Sitaweka namba zenu kwenye blog na Jaji wa mwisho ni MIMI mwenyewe.

SWALI LA KWANZA: Album ya Mapacha Watatu inaitwaje?
SWALI LA PILI: Albam ya Mapacha watatu Itazinduliwa tarehe ngapi, wapi na uzinduzi utasindikizwa na Nani.

NAMBA YAKO YA SIMU NA MAJINA YAKO KAMILI NI MUHIMU ILI NIKUTAMBUE
Kila La Kheri.

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA