Katika Ziara yetu ya Moshi na Arusha tulipokelewa vizuri sana na fans wa mikoa hiyo. Tulitambulisha rasmi chupa mpya ya heineken portable aka Heineken Epasula.
SHISAMA YATEMBELEA KAMBI YA MAZOEZI YA MAANDALIZI YA ONESHO LA MUSEUM ARTS
EXPLOSION
-
*Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Tanzania (SHISAMA) Dkt. Cynthia
Henjewele akiambatana na Naibu Katibu Mkuu, Aloyce Makonde, leo Oktoba
15.2026 ...


3 comments:
Sio siri tuliinjoy saana karibuni tena kaskazini.
Jamani nimemith ngwasuma,sipatii picha wachaga walivyocheza pikipiki na mayemba.fm mko juu sanaaa
Mapacha mnaendeleaje jose? napenda sana nyimbo zenu. na album yako pia chozi la yatima nyimbo nzuri sana. we ni mkali kaka
Post a Comment