Tuesday, September 28, 2010

BAHATI SINGH NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIKEHongera sana Bahati Singh na mkewe Zeenat Singh a.k.a Mama Iffe, juzi tar 25/09/2010 mida ya saa 7 mchana walijaaliwa na Allah kupata mtoto wa Kike aitwaye Lemmysa Singh, mtoto kazaliwa salama

Bahati na mkewe wanatoa shukran kwa wahudumu, manesi na madaktari wa TMJ Hospital Mikocheni.
Jose Mara na Familia pamoja na MAPACHA WATATU TUNAKUPA HONGERA SANA KAKA

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA