Monday, September 27, 2010

MAZOEZI YA MAPACHA WATATU YANAENDELEA.


Mapacha Watatu Tunaendelea na mazoezi ya uzinduzi
Launch itakuwa katika Hotel ya Travertine Magomeni.
Hapa Mapacha Watatu,Hapa Twanga Pepeta Pembeni Mzee Yusuf.
Pichani nikiwa mapumziko baada ya zoezi kali.

Napotea sana hapa sababu sipati muda wa kukaa chini wadau. Lakini Mniaminie kazi tunayoifanya ni kubwa na mtaiona hiyo tarehe 15 ya mwezi wa kumi.

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA