Nawatakia Eid Njema. Furahieni Eid na familia zenu. Halafu Jioni tukutane palee Diamond Jubilee TUKAVUTANE na FM Academia.
Nimetoka kumalizia shopping za mwisho mwisho siunajua Wazee wa Pamba Mujini?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
BENKI YA CRDB YAANDIKA HISTORIA KUORODHESHA KIJANI BOND SOKO LA HISA LA
LUXEMBOURG
-
Luxembourg, 1 Julai 2025 – Benki ya CRDB imeweka historia kwa kuorodhesha
rasmi hatifungani yake ya kwanza ya kijani maarufu kama ‘Kijani Bond’
katika Sok...
0 comments:
Post a Comment