Juzi siku ya Alhamis Tulikutana Pale Ofisi za TCC Pugu Road kwa maandalizi ya Bonanza la Wafanyakazi wa TCC Litakalofanyika LEO MCHANA pale TCC Club Chang'ombe. FM Academia tupo pale,Sikinde,Wanne Star , Mheshimiwa temba na wengine wengi wapo.Ntawarushieni picha za matukio Baada yake
Nilipata picha na Mzee wa Traditional Wanne Star. Nakubali sana Kazi ya msanii huyu kwani anajua vyema kuitumikia kazi yake.
JUBILEE INSURANCE WAZINDUA OFİSİ YAO MPYA FAYKAT TOWER
-
Na Mwandishi Wetu
JUBILEE Insurance (Jubilee Life na Jubilee Health) leo Novemba 17,2025
wamezindua rasmi ofisi yao mpya iliyopo ghorofa ya tatu jengo l...


0 comments:
Post a Comment