Sunday, July 11, 2010

DEPLAIZIR ALIPOTIA TIMU BONGO


Siku za nyuma kidogo nilibahatika kukutana na mwanamuziki Deplaizir Mcongo anayeishi Uingereza, Deplaizir alikuja Tanzania kufanya Recording na wanamuziki kadhaa wa Tanzania, lengo likiwa ni kujitambulisha Afrika ya mashariki na kati.

1 comments:

Flower said...

Hongera sana Josee Mara kwa kufungua Blog!!All the best.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA