Ntawafahamisha siku na muda kitakaporushwa kipindi.
Huna SIM Card? Hakuna Tatizo! Kwetu eSIM Inakuwezesha Kuunganishwa Nchi
Zaidi ya 190
-
Fikiria unatua katika nchi mpya na intaneti yako tayari inafanya kazi
kabla hata hujatoka uwanja wa ndege. Hakuna haja ya kutafuta Wi-Fi. Hakuna
kununua...


3 comments:
Mmetoka Mchicha Bro. Nirushie namba ya huyo sauda nina shida nae sana. nakutumia email yangu.
Shani umeua kaka Suti ya Ukweli.
shemeji yetu uko juuu
KAKA HIVI UNAJIJUA KAMA WE UKO BOMBA MBAYA? USISAHAU KUMSHUKURU MUNGU KWA JINSI ALIVYOKUUMBA. NA VILE VILE SIFA ZIENDE KWA MKEO KWA KUKUPENDA, NDOA IKIWA CHUNGU HATA SURA ITAONYESHA NA MWILI UTAONYESHA. SIRI YA KUENDELEA KUWA BOMBA ZAIDI NI KUUTHAMINI MWILI WAKO. MAFANIKIO MEMA
Post a Comment