Hili ndilo kundi la "MAPACHA WA NNE" kabla ya mmoja kujitoa na sasa ni "MAPACHA WATATU" linaloundwa na mimi mwenyewe (Josee Mara),Kalala Jr pamona na Khalid Chokoraa,mpangilio wa majina umeanzia kulia kwenda kushoto kulingana na jinsi tunavyoonekana katika picha hii,alie jitoa ni Charles Baba.
JUBILEE INSURANCE WAZINDUA OFİSİ YAO MPYA FAYKAT TOWER
-
Na Mwandishi Wetu
JUBILEE Insurance (Jubilee Life na Jubilee Health) leo Novemba 17,2025
wamezindua rasmi ofisi yao mpya iliyopo ghorofa ya tatu jengo l...


3 comments:
Inatoka lini? Kazi nzuri ya nyimbo yenu ya mapacha.
safi sana kazeni buti vijana
Sophia
Maisha ni kuangaika,hata Mungu umbariki yule anayetafuta kwa jasho lake. Hongereni sana mapacha. kazeni buti, inshallah Mungu atawabariki mpaka mshangae. Ila muhimu nikujitunza ili muwe na maisha marefu tuweze faidi nyimbo zenu mpaka mtakapo zeeka. kila la kheri
Post a Comment