Wednesday, November 2, 2011

LEO NASHEREHEKEA SIKU YANGU YA KUZALIWA


Leo ninapotimiza Miaka Kadhaa toka niingie hapa duniani, namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipatia pumzi na kunifikisha mwaka huu mwingine.

Shukrani Kwenu wote mlionitumia salamu za heri ya siku yangu hii ya kuzaliwa

Nimshukuru pia kwa Familia yangu, Mke na watoto Wangu, Nawapenda sana na shukrani kwa kuwa na mimi kwa mwaka huu uliopita na siku zote katika raha,karaha,furaha na shida.

Niwashukuru wenzangu wa Mapacha watatu..Pamoja sana vijana wenzangu katika Kazi. Fans wangu pia mmechangia sana katika mafanikio yangu ya mwaka huu.


Sababu Leo Mapacha Hatuna Kazi, Nitatumia Muda huu Kusherehekea Birthday Yangu nyumbani, Kifamilia Zaidi.
Thanks

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA