Thursday, November 3, 2011

BIRTHDAY NA FAMILIA NA MARAFIKI


Jana Nilishinda Nyumbani siku Nzima na jioni Wife Kaniandalia Chakula Cha jioni na Marafiki. Asanteni sana Mapacha kwa Kujumuika nami.
Nilipenda sana Cake Yangu..Thanks wife.




Baadhi ya Marafiki Niliojumuika Nao.





Familia

Moja ya Chakula Kilichonivutia jana 


3 comments:

JJ said...

Hongera kwa kuongeza miaka Jose na nakupongeza kwa Familia Bora. Mungu Awalinde

Anonymous said...

kumetokea nini kwa wife anatisha

Anonymous said...

funga hii blog

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA