Kila jumapili Mapacha Tuko Mzalendo pub na kila jumanne coco star club beach na Alhamis ni Pale Club Sunciro Sinza. Hawa Wakinadada Ni CREAM ya Dancers Tanzania. Niamini mimi. Njoo uone wakichakachua Halafu Utaniambia..
CRDB Al Barakah Sukuk kuwezesha biashara bila riba
-
Dar es Salaam: Benki ya CRDB hivi karibuni ilizindua ‘CRDB Al Barakah
Sukuk,’ hatifungani inayokusanya fedha ili kuwezesha biashara bila riba
nchini na uk...
1 comments:
werawera kwa raha zenu
Post a Comment