Monday, January 17, 2011

MAPACHA WATATU WALIVYOPAGAWISHA WAKAZI WA BAGAMOYO SIKU YA JUMAMOSI


Jumamosi Ndani ya Ukumbi wa Saadani Wakazi wa Bagamoyo walitoa support ambayo hatukuitegemea..Wadau wa Dar Pia Hawakuchoka Waliifuata bendi yao mpaka mitaa ile. PATA MATUKIO KATIKA PICHA

WANAITWA WAZEE WA KUCHAKACHUA-MAPACHA WATATU

 


Wadau wa Mapacha Kutoka Dar pia hawakukosa


BAGAMOYO IMETUKUBALI

Hapo chachaaa

Mdau wangu wa ukweli....Thanks my friend

Halima Kimwaanaa..Dada Mapacha

Maimartha wa Jesse aka Aunt Mapacha akisalimia wadau wa Bagamoyo

Akawaonyesha Jinsi ya Kuchakachua Kidogoo

Papaa Andrew na Kiduku ilikuwa Balaa


Ni Ule Mduariko wa Shika Ushikapoo..Ushikwaapoo

Katika Mduara Kiti Kati kikitendewa Haki na Depicho mzee wa Moscow

10 comments:

Anonymous said...

Twanga Pepeta Kwisha Habari yao, FM Academia Tia Maji ha haaaa. Bendi ni Mapacha asikwambie mtu

Anonymous said...

Nasubiri Kuuza Nyago show ya jana Mzalendo Pub. Jamani ni Hatariiiii. Chakachua nimeikubali

Anonymous said...

Tumewapokea wa Kimara kazeni buti

Anonymous said...

WASIWADANGANYE KUWA TWANGA KWISHA HUO SIO UKWELI ISIPOKUWA KAZENI BOOT ILI BAND IDUMU KAMA TWANGA AMBAYO IPO ZAIDI YA MIAKA 10. TULIENI OMBENI MUNGU MUWEZE KUDUMU KAMA KUNDI IMARA, MAANA TUMEONA BAND NYINGI ZINAANZISHWA KWA KISHINDO AND THEN AFTER FEW MONTHS HAZIONEKANI TENA. NISHAMU MUHIMU BADO SAFARI NDEFU

Anonymous said...

Ndugu hapo juu twanga haitakufa lakini cha moto watakiona, Jumanne mkesha wa Mapinduzi Twanga Mzalendo Pub,Mapacha Coco beach Ngoma pale Mzalendo ilidoda. IN SHORT UKIACHA MAZOEA NA JINA TWANGA HAWAWASHIKI MAPACHA HATA KIDOGO

Safari ni ndefu kweli lakini kazeni buti msilewe umaarufu haraka

Anonymous said...

navutiwa zaidi na wacheza shoo wao pamoja na mduara wao na mzee yusuf

Kibajaji said...

Kama mnabisha twanga haijaisha muulizeni asha baraka mi nipo hapa mtaniambia

Prisila Rugambwa said...

Jamani wapeni moyo wenzenu wafanye kazi zaidi achaneni kufananisha na band zingine nyie fuataeni yenu kama alivyosema huyo aliyetangulia kazeni boot hamshindani na mtu, safari bado ndefu watu wa Dar wanajua mwanzo mwisho wanaujua wenyewe, jitahidini ni mapema sana kwa assessment ya aina yeyote na achievement za project huwa zinapimwa at least one year na pale ambapo tu unaanza kurudisha pesa zenu baada ya kurecover (kurudisha) initial costs.

Anonymous said...

Kisomi zaidi au sio Prisila Hallowww. si hatujali tunataka kuona goma wapi limejaza ndo bendi iliyoko juu. Lakini Kalala wa Commando Mzuri. nipe namba yake jose mara nimlee mimi. Aje nimlishe mchuzi wa nazii atulizane

Anonymous said...

Depicho kwa Mijimama we nae hauvumi lakini umo

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA