Friday, January 14, 2011

HAPPY BIRTHDAY ZEZE WA 8020FASHIONS


Mwana Blog Shamimu Mwasha aka Zeze wa 8020Fashions leo anasherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa. Haya mama hizi salamu zako special from Mama JJ. mungu akuweke miaka mia zaidi.

 
Zawadi yako ya Cake ya Gucci kutoka kwa Mama JJ

5 comments:

Anonymous said...

Happy Birthday Shamimu

Anonymous said...

Jose lakini sio fresh kubania comments. Tutaacha sisi kuingia halafu tuone utakuwa unampostia nani mapicha yako

Anonymous said...

Ukimsifu monica lazima ichapishwe

Anonymous said...

Huo sasa wivu mbona nyingi tu sio za kumsifu kama hiyo yako ya kejeli ameichapisha. asimsifie mke wake amsifie nani?

Jose Mara on January 17, 2011 at 3:41 PM said...

Wadau comments Zisizotelewa ni zile za matusi,kejeli,majungu yasiyokuwa na ushahidi, chuki lakini zote nyinginezo ntatoa. Mtanisamehe kwa kuwakwaza wale ambao nitadhani comments zao zitachochea ugomvi SITAZITOA.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA