Tuesday, January 18, 2011

MAPACHA WATATU JUMAPILI NDANI YA MZALENDO PUB SI YA KUKOSA


Tupo Hapo Mzalendo Pub kila Jumapili kuanzia saa 12 jioni. Karibuni sana

 

Meneja wa Mapacha Dakota (Mwenye Black) Akionyesha mfano

Dida Full Support

Wadau wa Muziki wa Dansi..Beny Kinyaiya naona yuko kazini na camera

Kaka Zangu Pablo Masai,Mulemule na Frank walikuwepo

Patchou Mwamba Tajiri na Saada

Inafurahishaa kupata watu kama hawa




WAPENZI WAKIONESHA STYLE YA CHAKACHUA YA MAPACHA MMOJA MMOJA




Yap watu kama hawa utawapata pale na wengine wengi wanaoelewa Muziki wa Dansi

5 comments:

Anonymous said...

josephine na jane naona hamkosi kwenye daftari la mahudhurio,bagamoyo mpo,mzalendo mpo.mmmmmmmmhhhhhh....itabidi mpewe complimentary.

Anonymous said...

josephine na jane naona hamkosi kwenye daftari la mahudhurio,bagamoyo mpo,mzalendo mpo.mmmmmmmmhhhhhh....itabidi mpewe complimentary.

Anonymous said...

Jamani nimemiss kutoka.Niliishia kuusikilizia mziki kwa dirishani.Kila jambo na wakati wake na huu ndio wakati wenu,mungu awasaidie ktk kila mfanyalo ili mpate mafanikio zaidi..

Anonymous said...

Mapacha watatu oyeee

Anonymous said...

Lakini kitu kimoja wanamuziki wa twanga pepeta inabidi wajifunze ni ushirikiano. Roho mbaya haijengi sasa FM wanakuja kutoa support twanga wako wapi? au mnawabania picha hamuwapigi? acheni hizo shirikianeni hata nyie ipo siku mtataka kutoka kivyenu tutawakumbusha mitima nyongo yenu alaaa

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA