Sunday, January 23, 2011

NAWALETEA MKONGWE MZEE MAFUMU BILALI MBOMBENGA


Mzee Mafumu Bilali Mbombenga ni mwanamuziki mkongwe wa dansi Tanzania. Anasifika sana katika kulipuliza Saxaphone. Ni mtunzi na Mwimbaji wa wimbo maalufu sana wa zamani kidogo unaoitwa Maya.
Mzee Mafumu kwa sasa anapatikana katika Bendi ya Mapacha Watatu.

Mzee Mafumu Kazini katika jukwaa la mapacha

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA