Jumapili ya Leo Kuanzia Saa 3 Kamili Usiku Tukutane Mzalendo Pub Katika Uzinduzi wa Mapacha Watatu DVD. Humo Ndani utakutana na Video za Nyimbo Zetu Zote Zilizo katika Album ya Jasho La Mtu.
Tutasindikizwa na Mfalme wa Bongo Fleva Duly Sykes, Mzee Yusuf na Baadhi ya Wasanii wa Filamu walioshiriki katika Video hizo kama Mzee Chillo, JB, Bi Mwenda. Na wengineo wengi.
Karibuni sana Kiingilio ni Shilingi 7,000/- TU
Tanzania Yapata Medali ya Dhahabu Apimondia 2025
-
Tanzania imepata heshima kubwa ya kimataifa baada ya kutunukiwa Medali ya
Dhahabu katika Kongresi ya 49 ya Apimondia iliyofanyika katika ukanda wa
Scandina...
1 comments:
patanogaaa leooo,nikimiss nitaumwaaaa
Post a Comment