Jumapili ya Leo Kuanzia Saa 3 Kamili Usiku Tukutane Mzalendo Pub Katika Uzinduzi wa Mapacha Watatu DVD. Humo Ndani utakutana na Video za Nyimbo Zetu Zote Zilizo katika Album ya Jasho La Mtu.
Tutasindikizwa na Mfalme wa Bongo Fleva Duly Sykes, Mzee Yusuf na Baadhi ya Wasanii wa Filamu walioshiriki katika Video hizo kama Mzee Chillo, JB, Bi Mwenda. Na wengineo wengi.
Karibuni sana Kiingilio ni Shilingi 7,000/- TU
Ngalimanayo Kuwania Udiwani Kata ya Mjini, Aahidi Maendeleo kwa vitendo na
sio maneno.
-
Songea-Ruvuma.
Mathew Ngalimanayo ameanza rasmi safari yake ya kisiasa kuelekea uchaguzi
mkuu kwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani wa Kata ya ...
1 comments:
patanogaaa leooo,nikimiss nitaumwaaaa
Post a Comment