Friday, May 27, 2011

ALBUM YA CHOZI LA YATIMA KUINGIA SOKONI MWEZI WA SITA


Albam yangu ya Chozi La Yatima, Niliyoisitisha Kuitoa mwanzo wa Mwaka Huu sasa Iko tayari kuja kwenu wadau. Sababu kuu zilizonifanya Kuzuia ni Kuipa nafasi  Albam ya Mapacha Watatu kwanza. Sasa Ni wakati muafaka wa Kuwaletea Chozi La Yatima.


Baadhi ya Nyimbo Ambazo Zimeshatoka redioni na Tv ni Chozi La Yatima, Shani na Mwanzoni Mwa wiki hii Ndio nimetambulisha Wimbo wa Tatu Unaokwenda Kwa Jina la NAKUAHIDI.
Kama Umeusikia Wimbo Huo, nipe Mawazo yako binafsi Unauonaje?
Jose Mara.

1 comments:

Anonymous said...

WEWE KAKA HUWA NAKUPENDA SANA KAMA MSHABIKI WAKO LAKINI.ALL THE BEST.KAKA

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA