Monday, April 4, 2011

SHOW YA MAPACHA WATATU NA 20% NDANI YA MZALENDO PUB SIKU YA JUMAPILI


Jana Mapacha Watatu Makamuzi yaliendelea Pale Mzalendo Pub na Tulifanya show ya Pamoja Na 20% Mshindi wa Zile Tuzo 5 za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2011 -KiliAwards 2011.

Picha kwa hisani ya MTAA KWA MTAA


Nikimkaribisha 20pa jukwaani

Mapacha Kazini..

20% Akifanya makamuzi alikonga nyoyo za mashabiki


Wadau mzee wa libeneke Issa Michuzi akiwa na Sauda Mwilima

1 comments:

Anonymous said...

Jose mara nyie mapacha tena basi hamna wa kuwakamata ndo mmeshatoka kimtindo

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA