Saturday, April 9, 2011

Mapacha Watatu Ndani ya Kilimani Dodoma Leo


Mapacha Band.

Kundi Zima La Mapacha Watatu Leo tunaChakachua pamoja na Wakazi wa Dodoma. Mapacha Watatu wakiongozwa na Prezidaa Allen Kiso Mundele na Directors Jose Mara, Khalid Chokoraa na Kalala Junior pia tutamtambulisha malkia wa Mapacha Mishi kwa wakazi wa Dodoma.

Kiingilio ni Elfu kumi kawaida na VIP Elfu Ishirini na Tano.

Karibuni Wote.

1 comments:

Anonymous said...

Hello. And Bye.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA